
23 Desemba 2024 - 19:31
News ID: 1516196

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Sambamba na wakati wa kuzaliwa kwa Hazrat Zahra (s.a), chini ya mpango wa mwakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) nchini Iraq, Sherehe za wasichana 600 waliofikia Umri wa kubalehe na wafuasi wa Ahl al-Bayt (a.s) zilifanyika katika Mji wa Najaf al_Ashraf.
